middo JF-Expert Member Joined Mar 21, 2011 Posts 207 Reaction score 56 Jan 28, 2013 #1 Habari, naomba kufahamu bei ya madini ya ulanga na website ipi ambayo inaweza ikanisaidia kuyauza kwa bei nzuri na kunipa taarifa zaidi kuhusu madini haya ya ulanga
Habari, naomba kufahamu bei ya madini ya ulanga na website ipi ambayo inaweza ikanisaidia kuyauza kwa bei nzuri na kunipa taarifa zaidi kuhusu madini haya ya ulanga
Chipukizi JF-Expert Member Joined Mar 12, 2009 Posts 4,409 Reaction score 6,773 Jan 28, 2013 #2 una tani ngapi? je unaweza supply tani ngapi kwa mwezi? je sample yako umeshaipima SEMIC na kuonyesha contents?ni PM majibu tufanye Biashara
una tani ngapi? je unaweza supply tani ngapi kwa mwezi? je sample yako umeshaipima SEMIC na kuonyesha contents?ni PM majibu tufanye Biashara
middo JF-Expert Member Joined Mar 21, 2011 Posts 207 Reaction score 56 Jan 28, 2013 Thread starter #3 ni Colour B. kwa kilo yananunuliwaje?
wajingawatu JF-Expert Member Joined Jan 20, 2013 Posts 2,046 Reaction score 2,453 Jan 28, 2013 #4 middo said: ni Colour B. kwa kilo yananunuliwaje? Click to expand... Sawa colourB, hebu weka na saizi yake. Mimi pia ni mnunuzi
middo said: ni Colour B. kwa kilo yananunuliwaje? Click to expand... Sawa colourB, hebu weka na saizi yake. Mimi pia ni mnunuzi
middo JF-Expert Member Joined Mar 21, 2011 Posts 207 Reaction score 56 Jan 29, 2013 Thread starter #5 wajingawatu said: Sawa colourB, hebu weka na saizi yake. Mimi pia ni mnunuzi Click to expand... kuna kilo kama 800 hivi
wajingawatu said: Sawa colourB, hebu weka na saizi yake. Mimi pia ni mnunuzi Click to expand... kuna kilo kama 800 hivi
Chimbuvu JF-Expert Member Joined Jul 17, 2012 Posts 4,401 Reaction score 2,341 Feb 17, 2013 #6 Mmemaliza biahara tayari?