eneo gani hilo...au rusha picha mawe meupe ni mengiHabari ndugu wajasiliamali wenzangu.
Nataka nifahamishwe jana kuna sehemu nilienda ni porini na nikaona Mawe meupe mfano wa karatasi yapo kando ya kijimto.
Na pia ndani ya maji ya huo mto kuna chembe ndogondogo kama mchanga nazo zinang'aa kweli. Je kuna uwezekano wa uwepo wa mgodi maeneo hayo.
Mchango wa mawazo kwa wenye utaalamu wa miamba.
eneo gani hilo...au rusha picha mawe meupe ni mengi
Habari ndugu wajasiliamali wenzangu.
Nataka nifahamishwe jana kuna sehemu nilienda ni porini na nikaona Mawe meupe mfano wa karatasi yapo kando ya kijimto.
Na pia ndani ya maji ya huo mto kuna chembe ndogondogo kama mchanga nazo zinang'aa kweli. Je kuna uwezekano wa uwepo wa mgodi maeneo hayo.
Mchango wa mawazo kwa wenye utaalamu wa miamba.
Sio madini hayo, ningekwambia ni lubi but hata lubi hazikai ktk hayo mazingira uliyosema