INAUZWA Madirisha nayauza yapo vizuri sana

INAUZWA Madirisha nayauza yapo vizuri sana

khamis kilo

JF-Expert Member
Joined
May 23, 2016
Posts
1,137
Reaction score
1,380
Haya madirisha ni 5 kwa 5 yapo vizuri kabisa yapo na nyavu zake yaani unachukua na kuweka tu, kila dirisha moja nataka Tsh 40,000/= tu, yapo madirisha manne 4 nipe mbezi msumi 0716-900915

IMG_1737.jpg

IMG_1732.jpg

IMG_1733.jpg

IMG_1745.jpg

IMG_1731.jpg
 
Back
Top Bottom