Uko mkoa gani?wakuu salama??Nimefungua workshop yangu kwa ajili ya kutengeneza na kufitisha madirisha ya aluminium kwenye nyumba,ni mjasiriamali mdog,naomba sapoti yenu,tuko tayari kuja eneo lako la ujenzi na kuchukua vipimo na kutoa quotation,msijali bei ni nafuu,just pm tutawasiliana na kukufikia
Weka namba ya simu na ikiwezekana jina la kampuni na mahali, pia kama una picha za kazi yako itasaidia.
wakuu salama??Nimefungua workshop yangu kwa ajili ya kutengeneza na kufitisha madirisha ya aluminium kwenye nyumba,ni mjasiriamali mdog,naomba sapoti yenu,tuko tayari kuja eneo lako la ujenzi na kuchukua vipimo na kutoa quotation,msijali bei ni nafuu,just pm tutawasiliana na kukufikia
Sawa,wakuu salama??Nimefungua workshop yangu kwa ajili ya kutengeneza na kufitisha madirisha ya aluminium kwenye nyumba,ni mjasiriamali mdog,naomba sapoti yenu,tuko tayari kuja eneo lako la ujenzi na kuchukua vipimo na kutoa quotation,msijali bei ni nafuu,just pm tutawasiliana na kukufikia