Madirisha ya nondo yanauzwa

0704

Member
Joined
Aug 1, 2024
Posts
23
Reaction score
20
Habari ya ijumaa. Nategemea mko na amani ya moyoni kwa kiwa Leo ni siku ya ijumaa.

Madirisha ya nondo na fremu ya mbao yanauzwa. Kulikuwa na servant quarter inajengwa yakabaki hayo madirisha 2 kwa kuwa design ya ujenzi ili adilika. Yapo madirisha mawili. Jumla bei sh 90,000. Urefu futi 4 upana futi 3 yaani mita 1. Yapo kibaha.

Ni PM tuyajenge

Asante

 
Y
Yapo ipogolo?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…