Madiwani 11 wa CHADEMA wakiongozwa na Meya wa Jiji la Mbeya wahamia CCM

Chademu, oh sorry, chadomo ndio hivyo inafutika kwenye siasa za Bongo!
 
Wananchi wangapi wamejiunga CCM? Au wana-CHADEMA wangapi ambao sio viongozi wametimkia huko CCM?
 
Issue siku wapiga kura wakihamia CCM ndo itakua habari

Wapiga kura wako kimya ila sio majuha

Wanahongwa wanasiasa sababu chama kinafahamu hakiwezi kupata wapiga kura

Kumtoa mtu upinzani na kumpa nafasi CCM inamaanisha mko dhaifu

Mpeni Mbowe urais ss

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Em kaka waza tena
Shida iko wapi,kwann wahame wanasiasa na isiwe juhudi ya CCM ionekane kwa wananchi
Tuseme CCM wako bora zaidi
Iweke wiki ya wao kusema walichofanya na upinzani wasimame waseme wana nn cha kufanya

Una miradi ya kutosha na dola na bado usijiamini kweli

Hatuko dhaifu kiasi cha kutoona yanayoendelea
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ukinitukana mimi haisaidii kuzuia wapinzani kwenda CCM, wala haiwarudishi upinzani waliokwisha hama.

Tatizo lililopo mbele yetu wewe na mimi na viongozi wetu wa upinzani ni kutafuta namna ya kuzuia wasiondoke wengine wengi na kujaribu kuwavuta wapya au wale wale warudi kundini.

Matusi ni kipimo cha uwezo mdogo wa kuhimili changamoto, naweza kusema ni udhaifu mkubwa.
Badala ya kutumia akili yako kubwa kuchangia hoja chanya unapoteza muda na nguvu kutukana watu ambao hawakusatahili, na hakuna binadamu anae stahili kutukwanwa na mtu mwenye akili timamu labda na mtoto mdogo mwenye malezi mabovu au kichaa.
 
Bila Polisi Usalama na Jeshi hakuna mwanachama mtiifu wa CCM. Ukisikia CCM ni hao

Sent using Jamii Forums mobile app
Weka hisia pembeni, shauri nini kifanyike.
Acha kujiliwaza na hoja nyepesi, unaamini kabisa wale walishikiwa mtutu wa bunduki na kushurutishwa na vyombo vya ulinzi na usalama ulivyo vituhumu?

Au walipigwa mabomu ya machozi?
 
Chadema wangethubutu kufanya hivyo wangekiona chamoto.
 
Titi linakuwasha
Sent using Jamii Forums mobile app
 
We shughulika kunyonyesha huko CCM ya upinzani hayakuhusu
Weka hisia pembeni, shauri nini kifanyike.
Acha kujiliwaza na hoja nyepesi, unaamini kabisa wale walishikiwa mtutu wa bunduki na kushurutishwa na vyombo vya ulinzi na usalama ulivyo vituhumu?

Au walipigwa mabomu ya machozi?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Katika demokrasia yetu wabunge na madiwani wanachaguliwa kupitia vyama vya siasa. Kwa hiyo, wananchi wanakipigia kura chama ambacho huyo anayegombea anakiwakilisha. Ndio maana mbunge /diwani anapopeza sifa ya kuwa mbunge pale uhusiano wake na chama anachowakilisha unapovurugika. Sasa ni kwa nini ufanyike uchaguzi mpya pale ambapo mbunge/diwani anapotoka kwenye chama alichowakilisha ilhali chama bado lipo? Si ingekuwa haki zaidi, chama kipewe fursa ya kupendekeza mwakilishi mwingine ambae ataendeleza sera ambazo ziliwafanya wananchi wakipigie kura? Hii ingeruhusu wale ambao wanapoteza imani na chama chao kuondoka bila kuleta athari yeyote kwa wananchi. Aidha, gharama za kurudia chaguzi zingepungua sana. Na hii ifanyike hata kwa wale wawakilishi ambao wanapoteza uhai au afya zao zitawazuia kuendelea na uwakilishi. Au hata wakipoteza sifa kwa kifungo.

Amandla.....
 
hlo haliwezekani maana pamoja na kuangalia chama pia tunamuangalia na mtu anaye gombea huwezi kupenda chama hata akiwekwa mtu ambaye unajua kabisa hawezi kuwatumikia tumpe tu kura haiwezekani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…