Tetesi: Madiwani kulipwa mshahara wa Tsh 1,000,000 kwa lipi?

josephwaara

JF-Expert Member
Joined
Jun 18, 2016
Posts
304
Reaction score
639
Wakuu katika pitapita zangu nimekutana na tetesi kwamba madiwani wataanza kulipwa mshahara wa tsh milioni moja kwa mwezi.

Kitaalamu hii inaitwaje?
 
Kitaalamu hii inaitwaje???
Sasa unashangaa nini Mkuu? Hujasikia kama kila baada ya miaaka mitani wabunge wanagawana mamilioni? Wengine husema wanagawana zaidi ya milioni miambili kila mbunge. Sasa diwani kuambulia kamoja inakukera! Wabunge hawakukeri?
 
Inaitwa mshahara.Walikuwa wanaonewa yani mbunge m10 halafu diwani hamna!!.
 
Kuna vitu ukivifuatilia kwa ukaribu sana unaweza pata stress za bure .... katiba mpya ndo suluhisho yapo madudu mengi sana 😢 ... ukifuatilia kwa karibu repot ya CAG
 
Wakuu katika pitapita zangu nimekutana na tetesi kwamba madiwani wataanza kulipwa mshahara wa tsh milioni moja kwa mwezi.

Kitaalamu hii inaitwaje???
Wizi, bora wawalipe wenyeviti wa serikali za mitaa
 
Wakuu katika pitapita zangu nimekutana na tetesi kwamba madiwani wataanza kulipwa mshahara wa tsh milioni moja kwa mwezi.

Kitaalamu hii inaitwaje?
DIWANI ana degree ya nini mpaka Alipwe 1,000,000/=?
 
Wakuu katika pitapita zangu nimekutana na tetesi kwamba madiwani wataanza kulipwa mshahara wa tsh milioni moja kwa mwezi.

Kitaalamu hii inaitwaje?
Pesa ya tozo ipo na kodi ya kichwa inakuja mkuu , shida yako nini, wacha watu walambe asali hizi ndio zama zao, RIP mwamba Jiwe tutazidi kukumbuka.
 
Every one wants to live in govenment expenditure but they forget that government depends in expendeture of everyone
 
Sasa unashangaa nini Mkuu? Hujasikia kama kila baada ya miaaka mitani wabunge wanagawana mamilioni? Wengine husema wanagawana zaidi ya milioni miambili kila mbunge. Sasa diwani kuambulia kamoja inakukera! Wabunge hawakukeri?
Wabunge wapo wachache, madiwani wapo wengi zaidi ya 4000+.
 
Back
Top Bottom