Madiwani nao wanunuliwe Toyota Land cruiser LC300

Madiwani nao wanunuliwe Toyota Land cruiser LC300

and 300

JF-Expert Member
Joined
Jun 27, 2012
Posts
26,398
Reaction score
36,406
Kama ilivyo Kwa Mawaziri, Makatibu wakuu, Majenerali wastaafu, mwenezi na Wakuu wa Mikoa. Madiwani nao wanastahili vyombo vya usafiri vyenye hadhi.

NB: hizi gari zitarahisisha kumtembelea miradi ya maendeleo Kama ilivyoainishwa kwenye ilani
 
Attachments

  • images (14).jpeg
    images (14).jpeg
    9.9 KB · Views: 12
Kama ilivyo Kwa Mawaziri, Makatibu wakuu, Majenerali wastaafu, mwenezi na Wakuu wa Mikoa. Madiwani nao wanastahili vyombo vya usafiri vyenye hadhi.
Mnataka tufe kabisa kwa kukosa Bajeti ya dawa.
Ma-CCM yanapita humu yasije kupeleka wazo kwa Mwenyekiti wao,yule achelewi kukubali!

Sent from my V2111 using JamiiForums mobile app
 
tena wawape na wake/waume zao pia.
wasisahau na kuwalipa mishahata wake/waume wa mawaziri wote pamoja na viinua mgongo.
 
Back
Top Bottom