Madiwani wamefanya kazi kubwa sanaKama ilivyo Kwa Mawaziri, Makatibu wakuu, Majenerali wastaafu, mwenezi na Wakuu wa Mikoa. Madiwani nao wanastahili vyombo vya usafiri vyenye hadhi.
Usisahau na wenza wao nao wanastahili kulipwaKama ilivyo Kwa Mawaziri, Makatibu wakuu, Majenerali wastaafu, mwenezi na Wakuu wa Mikoa. Madiwani nao wanastahili vyombo vya usafiri vyenye hadhi.
Mnataka tufe kabisa kwa kukosa Bajeti ya dawa.Kama ilivyo Kwa Mawaziri, Makatibu wakuu, Majenerali wastaafu, mwenezi na Wakuu wa Mikoa. Madiwani nao wanastahili vyombo vya usafiri vyenye hadhi.
Wasinunuliwe magari tu peke yake, lakini pia wapewe na helicopter kila mtu awe na yake ili kuwatia moyo, ari na hamasa ya kazi.Kama ilivyo Kwa Mawaziri, Makatibu wakuu, Majenerali wastaafu, mwenezi na Wakuu wa Mikoa. Madiwani nao wanastahili vyombo vya usafiri vyenye hadhi.
OkWawape na ffu wawili, mmoja alinde kwake na WA pili awe mpambe. Mke/Mme wa diwani alindee na green guard
Hata na Afisa Tarafa nao wanunuliwe V8Kama ilivyo Kwa Mawaziri, Makatibu wakuu, Majenerali wastaafu, mwenezi na Wakuu wa Mikoa. Madiwani nao wanastahili vyombo vya usafiri vyenye hadhi.