Kilichoko Meru Dc na Arusha Dc kinatisha.Madiwani wanakaa na kuazimia kuondoa mtumishi yoyote ambaye hakubaliani na matakwa yao,wanafanya vituko vya kufedheesha jamii.watendaji wa kata hawatakiwi na madiwani ,wakuu wa Idara hawatakiwi na madiwani ,yaani ni shiida.Mkuu wa wilaya Arumeru ameitisha kikao leo na kueleza matatizo ya madiwani hao.
Habari zaidi kwenye vyombo vya habari kesho.
Jamani mjoo Meru na Arusha muone vituko vya madiwani
Habari zaidi kwenye vyombo vya habari kesho.
Jamani mjoo Meru na Arusha muone vituko vya madiwani