OKW BOBAN SUNZU
Platinum Member
- Aug 24, 2011
- 53,868
- 121,001
Kama tunavyofahamu madiwani kadhaa waolikuwa wanachama wa Chadema walijivua nyazifa zao za udiwani ili kumuunga mkono Magufuli.
Nyeti zimedokeza kuwa madiwani hao pamoja na makubaliano mengine wameahidiwa utendaji katika vijaji na kuhakikishiwa kupewa nyeo hivyo mwanzoni mwa mwaka huu wa fedha.
Diwani mmoja wa Arumeru amewashangaa madiwani wenzake kuachia ngazi kwa sababu zisizo na mashiko. "Wanajiuzulu kwa ahadi ya utendaji wa kijiji ambacho bosi wako atakuwa wa Chadema,ambayo ni wazima itashinda,huo ni ulofa" amesema diwani huyo.
Hata hivyo madiwani hao wamekuwa wakiwasumbua wakurugenzi wa wilaya kuhakikisha kuwa uteuzi wao katika utendaji wa kata unakuwa wa moja kwa moja badala ya ushindanishi kama unavyokuwa siku zote