Mkumbwa Jr
JF-Expert Member
- Mar 23, 2016
- 2,668
- 3,751
changamkia fasta ndio njia pekee ya utajiri iliyobaki mkuuNimechoshwa na siasa ngoja nianzishe dini yangu nipate wafuasi
acha habari za uzushiKama tunavyofahamu madiwani kadhaa waolikuwa wanachama wa Chadema walijivua nyazifa zao za udiwani ili kumuunga mkono Magufuli.
Nyeti zimedokeza kuwa madiwani hao pamoja na makubaliano mengine wameahidiwa utendaji katika vijaji na kuhakikishiwa kupewa nyeo hivyo mwanzoni mwa mwaka huu wa fedha.
Diwani mmoja wa Arumeru amewashangaa madiwani wenzake kuachia ngazi kwa sababu zisizo na mashiko. "Wanajiuzulu kwa ahadi ya utendaji wa kijiji ambacho bosi wako atakuwa wa Chadema,ambayo ni wazima itashinda,huo ni ulofa" amesema diwani huyo.
Hata hivyo madiwani hao wamekuwa wakiwasumbua wakurugenzi wa wilaya kuhakikisha kuwa uteuzi wao katika utendaji wa kata unakuwa wa moja kwa moja badala ya ushindanishi kama unavyokuwa siku zote
Naomba uwe mfuasi wangu mwenye kadi no 1 mkuu😵😛changamkia fasta ndio njia pekee ya utajiri iliyobaki mkuu
usijali mkuu ila niwe mkusanya mapatoNaomba uwe mfuasi wangu mwenye kadi no 1 mkuu😵😛
Umeshaambiwa kuwa wameahidiwa. Inaweza ikawa ahadi kama ya wale wa shinyanga kipindi cha Nape waliahidiwa pesa na nafasi za uongozi lakini mwishoni walipotezewa na kuamua kurudi kwenye chama wakilia. Inaweza kuwa ahadi hewaKwa ufaham wangu utendaji wa kata unatakiwa usome angalau diploma ktk vyuo vinavyofahamika na serikali kikiwemo Ombolo na Mipango Dodoma... Sasa sijui kama utaratibu umebadilika siku hizi... Kwani myendajibsi mwanasiasa ha hapaswi kushabikia chama chochote
Sent from my LG-K350 using JamiiForums mobile app
Kama walivyomfanyia Slaa, walimuwekea bilioni moja baada ya siku akakuta milioni mia mbili tu, nane wameshazichukua tiss....Mkuu hapo ni keusi kekundu, hata ile pesa ya kuhongwa kama wamekubali wakapokea nusu wameliwa hiyoo...
Habari kamili zimetoka,madiwani wameshaajiriacha habari za uzushi