Madiwani waliotimuliwa na CHADEMA watinga mahakamani

Waachenı nı hakı yao kufanya hvyo kama walıvyopewa ushaurı na Pm
 
watajuta kupoke rushwa toka kwa magamba, nan aliwadanganya! aliye sema atawalinda naye yu kikaangoni
 
mbowe ameongea na vyombo vya habari nitairusha..
 
<br />
<br />
Huwezikua mwana Arusha wewe wacha ulimbukeni
 
Thanks Crashwise kwa kutuhabarisha najua wengi wanakukebehi lakini ukweli utabaki kuwa wewe ni mwanaharakati wa kweli endeleeni kutujuza.
 
waliokuwa madiwani kupitia chadema wilaya Arusha mjini na chadema watatinga mahakamani ni kwenye sakata la wasaliti hao kutaka kurudishiwa uanachama wao na kuendelea udiwani wao, madiwani hao ni malla, Bayo, mpanda, rehema...tutaendelea kuwajuza..

Si wahamie tu CCM kwenye masirahi mazuri
 
hakuna raha yoyote wewe una kula na kusaza laini jilani yako hana uhakika wa mlo hata mmoja, hakuna usawa hospitalini, hakuna haki mahakamani..watoto na akina aawnkua hoptalini akina nymbo wana ma trilion nje..eti tufanye kazi
 
Si wahamie tu CCM kwenye masirahi mazuri
mkuu najua ukotayari kununua condom kwa garama yoyote ikibidi lakini ukisha itumia hata kuishika unaona kinyaa ndicho kitakacho wakuta malla na wenzake..
 
<b><font size="3">Kihiyo wa sheria utawajua</font>.</b>
hongera wewe unaejua sheria, katusaidie kuwashitaki rostam, chenge, kikwete, lowasa, manji na wengine kwa ufisadi..
 
hakuna raha yoyote wewe una kula na kusaza laini jilani yako hana uhakika wa mlo hata mmoja, hakuna usawa hospitalini, hakuna haki mahakamani..watoto na akina aawnkua hoptalini akina nymbo wana ma trilion nje..eti tufanye kazi
Mkuu acha kujibizana na watu wa aina hiyo,wewe endelea kutujuza kinachoendelea huko Arusha.
 
Thanks Crashwise kwa kutuhabarisha najua wengi wanakukebehi lakini ukweli utabaki kuwa wewe ni mwanaharakati wa kweli endeleeni kutujuza.
asante mkuu...bahati nzuri hakuna raha kama kutetea ukweli...hao wanao ni kebei kwenye kampeni walijidai wachunguzi na watabiri tuliletewa info mpaka wagombea wapokuwa darasa la pili leo crashwise kuripoti kinachoendelea mahakamani imekuwa nongwa..nitaripti kadri ya uezowg wote na j3 nitaripoti juu ya kesi ya lema na ijumaa kesi ya CDM na mala
 
Hawa wasaliti wanapoteza muda wao
 
CDM haiwataki, sasa wao wanataka nini? waamie CCM huko ndio wanafaa. waombe tu magamba, halafu mchezo utakwisha. Wathubutu kugombea udiwani kupitia CCM.
 
Nimeangalia hizo picha apo mahakamani wengi ni wahuni wa maeneo ya Sakina na Standi ya vifodi ni wahuni tu ndio wanaompiga Naibu Meya wa Arusha, Comrade Mallah mpenda Amani
 
Nimeangalia hizo picha apo mahakamani wengi ni wahuni wa maeneo ya Sakina na Standi ya vifodi ni wahuni tu ndio wanaompiga Naibu Meya wa Arusha, Comrade Mallah mpenda Amani

Ritz eh' hebu ni kuulize kitu na ninaomba unijibu tafadhari' hivi hawa jamaa baada ya kufukuzwa Chadema inashindikana vyp kutafuta chama kingine ili wangombee baada ya uchaguzi kurudiwa?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…