mungu ambaye hana mtoto, mungu ambaye hajui kiswahili, mungu ambaye hajui lugha nyingine isipokuwa kiarabu.Mungu yupi?
tangu lini mahakama ikawarudishia uanachama wanachama waliofukuzwa?Hivi, hata kama wakishinda kesi, watakuwa na raha gani kufanya kazi zao wakiwa Chadema? Hawa kuna kitu wanatafuta na nadhani kuna kundi la magamba nyuma yake.
Usijidanganye kabisaaaaa. Kwani wana haki kote kote kusikilizwa. Kwani hivyo ni vyombo viwili tofauti. Na sabau kuu ni kuona Labda ile CC ya Chadema haitawatendea haki ndio wamefungua kesi mahakamani.
Kama ingekuwa wamefungua shauri lao mahakama ya mwanzo na tena kufungua shauri hilo hilo mahakama ya wilaya hapo ndio pangeleta utata na mahakama moja ingetakiwa ilitupilie mbali shauri hilo ili kutoa nafasi kwa mahakama nyingine kusikiliza.
Duh utawala wa sheria ipi mkuu wangu mbona huku majuu kesi zinajadiliwa kila siku kulingana na sheria zilizopo. Mahakamani ni mahala pa suluhisho tu lakini sheria tangulizi zinafuatwa ni zile zilizopelekea kuwepo kwa mkataba au makubaliano yenu. Leo hii Tanzania tunawalipa Dowans kutokana na sheria ya mkataba tuloingia nao hata kama tunaonewa lakini maadam tulikubali na ushahidi upo basi mahakama haina budi kuwapa ushindi Dowans..Maadam hawa Madiwani wamevunja kanuni za chama, mahakama haiwezi kuwapa nafasi unless watakuwa na ushahidi toka ktk katiba ama kanuni za chama unaodhihirisha kinyume..Mimi nawashauri wana JF hususan wale wenye Jazba wa Chadema. Naomba mjue kuwa nchi yenu inafuata utawala wa sheria. Na kwa mantiki hiyo SUALA LOLOTE LIKIWA MAHAKAMANI HALIRUHUSIWI KULIZUNGUMZIA MPAKA MAHAKAMA ITAKAPO TOA HUKUMU YAKE.
Hivyo kuweni na subra na kuwapa mahakama nafasi kulisikiliza na kutoa uamuzi ulio sahihi pasi na kupendelea upande wowote
<br />wanataka uanachama kwani kisheria chama hakina uwezo wa kuwavua udiwani bali ukifutiwa unachama kama mzamini wako basi hata udiwani utakuwa umepoteza...
mkuu kwa hili umechemka mbaya..nini maana ya kuchagua diwani kupitia cdm au ccm...tatizo kwa chadema ni kuwa ni nani aliyewachagua hao madiwani.................kamati kuu iliyoko Dar au wakaazi wa Arusha..................hivyo ni nani wakuwafukuza? Demokrasia nchi hii bado ni safari ndefu sana................na Chadema begins to look more like a CCM android............
<br />mkuu kwa hili umechemka mbaya..nini maana ya kuchagua diwani kupitia cdm au ccm...
tatizo kwa chadema ni kuwa ni nani aliyewachagua hao madiwani.................kamati kuu iliyoko Dar au wakaazi wa Arusha..................hivyo ni nani wakuwafukuza? Demokrasia nchi hii bado ni safari ndefu sana................na Chadema begins to look more like a CCM android............
Mimi nawashauri wana JF hususan wale wenye Jazba wa Chadema. Naomba mjue kuwa nchi yenu inafuata utawala wa sheria. Na kwa mantiki hiyo SUALA LOLOTE LIKIWA MAHAKAMANI HALIRUHUSIWI KULIZUNGUMZIA MPAKA MAHAKAMA ITAKAPO TOA HUKUMU YAKE.
Hivyo kuweni na subra na kuwapa mahakama nafasi kulisikiliza na kutoa uamuzi ulio sahihi pasi na kupendelea upande wowote
NDOFU,
CDM ni chama cha wananchi unakubaliana na mimi? Kama ndio hivyo kwa nini Dr Slaa na Mbowe wawafukuze kina Mallah na wenzake wakati Mbowe na Dr Slaa CDM wameikuta? Wote walikuwa Magamba
Mkuu Rutashubanyuma, haya maswali yako ni ya ujenzi sanatatizo kwa chadema ni kuwa ni nani aliyewachagua hao madiwani.................kamati kuu iliyoko Dar au wakaazi wa Arusha..................hivyo ni nani wakuwafukuza? Demokrasia nchi hii bado ni safari ndefu sana................na Chadema begins to look more like a CCM android............
tatizo kwa chadema ni kuwa ni nani aliyewachagua hao madiwani.................kamati kuu iliyoko Dar au wakaazi wa Arusha..................hivyo ni nani wakuwafukuza? Demokrasia nchi hii bado ni safari ndefu sana................na Chadema begins to look more like a CCM android............Ndugu Ritz haujajibu swali langu! Msingi wa swali langu ni kutaka kujua kama hawawezi kugombea udiwani kwa tiketi ya chama kingine wakaachana na Chadema inayowanyanyasa! nadhanh unaweza kunipa jibu tena ndugu!
Mkuu mbona hujibu swali tunaomba ujibu hili swali Msingi wa swali ni kutaka kujua kama hawawezi kugombea udiwani kwa tiketi ya chama kingine wakaachana na Chadema inayowanyanyasa! toa jibu! Hivi ukifukuzwa si unaenda chama kingine na kama wananchi wanakupenda wewe si chama si watakuchagua tu ?tatizo kwa chadema ni kuwa ni nani aliyewachagua hao madiwani.................kamati kuu iliyoko Dar au wakaazi wa Arusha..................hivyo ni nani wakuwafukuza? Demokrasia nchi hii bado ni safari ndefu sana................na Chadema begins to look more like a CCM android............
Jumatatu unaanza harakati za kuutafuta ubunge, vipi utakuwepo huko....Heshima kwako Ruta.
Mkuu tuko pamoja kabisa.
Mkuu Baru utashangaa viongozi na baadhi ya wanachama wa CDM tayari wameshatoa hukumu Mahakama ikitoa hukumu yake tofauti na walivyotarajia hawakawi ohoo Hakimu kahongwa.
wamesha kata na wakafungua kesi ya zuio la mikutano ya chadema kuwazungumzia hii ilitokana na zomezome kila walipo kuwa wakikatiza....Hii ni kujikanyaga hawa madiwani, nionavyo mimi walitakiwa kukata rufaa Baraza kuu la CDM, wakishindwa ndio walitakiwa kwenda Mahakamani
tatizo kwa chadema ni kuwa ni nani aliyewachagua hao madiwani.................kamati kuu iliyoko Dar au wakaazi wa Arusha..................hivyo ni nani wakuwafukuza? Demokrasia nchi hii bado ni safari ndefu sana................na Chadema begins to look more like a CCM android............
<br /><font size="3"><font color="#0000ff">Mkuu Rutashubanyuma, haya maswali yako ni ya ujenzi sana</font></font>