Madktari mnisaidie mke wangu ameanguka gafla na hawezi hata kusimama miguu inamuuma

Mzee wa kusawazisha

JF-Expert Member
Joined
Nov 30, 2016
Posts
1,601
Reaction score
1,172
Chanzo kulikua Kuna watu Wanagombana Sasa yeye akapatwa mshituko akaishiwa Nguvu ndipo anadondoka mimi nimeitwa kazini Kua mkeo ameanguka nilistuka Sana.

Nimeenda nikamkuta amelala anapata pumzi kwa shida Toka siku Ile juma 4 Adi Leo hata kusimama hawezi.

Kwa Sasa yupo hospital alipewa drip za maji ila bado tu na alichukuliwa damu vipimo vyote viko Sawa isipokua pressure ilikua iko chini kidogo, Jana daktari alikuja kumchek akamwandikia dawa ila tunajiuliza kwa nini akikunja mguuu anahema kwa shida? Kama Kuna mtu Ana uzoefu na hii ishu aisee hatari..

Narudia tena akijaribu kukunja mguu pumzi Zina mbana na anakua kama mtu Mwenye mapepo

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
We mkuu took jumanne Hadi leo hujampeleka hospitali!!?? HUJUI KUWA KWA KUKAA NAE NYUMBANI BILA KUMFIKISHA MAMLAKA YA TIBA NA AKAENDELEA KUDHURIKA KUWA UNAWEZA KUSHTAKIWA????? NA KIFUNGO KABISAA KWA UZEMBE
Mkuu ebu rudia kusoma ulichokiandika then rudi kwa mtoa mada usikurupuke

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Chanzo kulikua Kuna watu Wanagombana Sasa yeye akapatwa mshituko akaishiwa Nguvu ndipo anadondoka mimi nimeitwa kazini Kua mkeo ameanguka nilistuka Sana.

Nimeenda nikamkuta amelala anapata pumzi kwa shida Toka siku Ile juma 4 Adi Leo hata kusimama hawezi.

Kwa Sasa yupo hospital alipewa drip za maji ila bado tu na alichukuliwa damu vipimo vyote viko Sawa isipokua pressure ilikua iko chini kidogo, Jana daktari alikuja kumchek akamwandikia dawa ila tunajiuliza kwa nini akikunja mguuu anahema kwa shida? Kama Kuna mtu Ana uzoefu na hii ishu aisee hatari..

Narudia tena akijaribu kukunja mguu pumzi Zina mbana na anakua kama mtu Mwenye mapepo

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app

Nenda hospital watakusaidiaje hapa?
 
Hao.hao madaktari wana majibu,.kama hawana.tafuta mchungaji anaeeleeeka amwombee
 
Back
Top Bottom