Money Stunna
JF-Expert Member
- Aug 9, 2011
- 13,053
- 6,304
Hahhhhahhha kina mbuta nanga wengiiii aiseeee
Huyo ana allergy na nguo
Hahhhhahhhha kwa hiyo hua havaiii nguooo,??
Uwa anapenda kuvaa nusu uchi na kupiga picha za hivyo na kuweka mitandaoni
Mbona huji kusaidia huko wabeba box wenziee kulee ushaitwaa weee
Wapi? Uko nikasaidie
"Mwili wa mtanzania Marekani wachomwaa motoo" kaianzisha le mutuz
Niliiona nikashangaa sana sababu watanzania wengi ni watu wa kufanya party hasa walioko Washington.
Mbona wengi tunawachangia hadi dolla 30,000 wanasafirisha kuleta nyumbani.
Nimeshangaa sana ilo
Huwez juaa alikua wapiii huyo marehemu maana hata kwao alikata mawasilianoo