Tumwesige senior
JF-Expert Member
- Jan 28, 2013
- 3,506
- 6,305
Wakuu hivi madoa (yanakuwa na rangi nyeusi) kwenye meno yanasababishwa na nini na ipi tiba(dawa yake) sahihi
Maana ukisugua na mswaki hayatoki
Maana ukisugua na mswaki hayatoki
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
☝️Pitia hapo mkuuWakuu hivi madoa (yanakuwa na rangi nyeusi) kwenye meno yanasababishwa na nini na ipi tiba(dawa yake) sahihi
Maana ukisugua na mswaki hayatok
Asante mkuu
Sababu hua n nyingi.Wakuu hivi madoa (yanakuwa na rangi nyeusi) kwenye meno yanasababishwa na nini na ipi tiba(dawa yake) sahihi
Maana ukisugua na mswaki hayatoki
Asante mkuu B M FSababu hua n nyingi.
moja ya sababu ni husababishwa na particle za vyakula au ( sigara/ ugoro) zinazo gandamana kwenye Ernamel ( rangi nyeume kwenye meno yenye ung'aavu) ambapo u tengeneza plaque (mgandamano mithili ya Cement) inapokaa kwa muda kwani ni mara chache mtu kupiga mswaki baada ya mulo/ chakula
Madoa yakisha jitokeza ni vigumu kuundoa kwa kupiga mswaki.
TIBA HUA: KUondoa madoa ayo kwa kukwanguliwa na mashine/ vifaa vya kinywa vinavyotumika kusafishia kinywa. Baada ya kusafisha hua ni kuhakikisha mtu anapiga mswaki mara 3 kwa siku au kila baada ya chakula kuzuuia particle zinazobaki kwenye meno kutengeneza madoa
Inaitwa Tartar , ni plaque iliyokomaa hiyoWakuu hivi madoa (yanakuwa na rangi nyeusi) kwenye meno yanasababishwa na nini na ipi tiba(dawa yake) sahihi
Maana ukisugua na mswaki hayatoki