Sababu hua n nyingi.
moja ya sababu ni husababishwa na particle za vyakula au ( sigara/ ugoro) zinazo gandamana kwenye Ernamel ( rangi nyeume kwenye meno yenye ung'aavu) ambapo u tengeneza plaque (mgandamano mithili ya Cement) inapokaa kwa muda kwani ni mara chache mtu kupiga mswaki baada ya mulo/ chakula
Madoa yakisha jitokeza ni vigumu kuundoa kwa kupiga mswaki.
TIBA HUA: KUondoa madoa ayo kwa kukwanguliwa na mashine/ vifaa vya kinywa vinavyotumika kusafishia kinywa. Baada ya kusafisha hua ni kuhakikisha mtu anapiga mswaki mara 3 kwa siku au kila baada ya chakula kuzuuia particle zinazobaki kwenye meno kutengeneza madoa