Habari zenu!
Nilipatwa tatizo la kuwasha ngozi mwili mzima na nilijikuna sana.
Nilipaka dawa na nilipona. Tatizo sasa mwili umebaki na alama nyeusi kama sijui nini. Me ni mwoga wa kujaribu vipodozi vipodozi jamani kwa kuhofia nisije zalisha mabaka zaidi.
Naombeni mwenye hakika ya kitu nitakachoweza tumia kurudisha ubora wa ngozi yangu pasipo kudhurika anishauri.
Nawategemea.
Asanteni