Ab-Titchaz
JF-Expert Member
- Jan 30, 2008
- 14,630
- 4,253
..naona kapigwa maximum....150yrs!
tehe tehe tehe tehe ana miaka 71 plus hio 150 atakuwa 221yrs old hihihihihihi.........akitoka jela atakuwa ameshika adabu yake, akifia jela na kuzaliwa upya (incarnated) inabidi aendelee kutumikia kifungo chake.
tehe tehe tehe tehe ana miaka 71 plus hio 150 atakuwa 221yrs old hihihihihihi......
Hahahaha..hi nimecheka kweli Eqlypz....πMiaka 150 utadhani tuko zama za kina Nuhu.
sasa na wale wachungajiw a DECI nao si inabidi hakimu afuate mfano wa US? tayari anayo reference.....