Secret Star
JF-Expert Member
- Jul 1, 2011
- 1,734
- 1,709
Wakuu najiuliza swali hapa, hivi miandiko ya Madoctor hadi leo imeshasababisha vifo vya watu wangapi kutokana na uzembe wa kutokuandika vizuri, Kila doctor mwandiko wake anaweza kuusoma yeye mwenyewe! Muda mwingine hata yeye mwenyewe anasahau ni kitu gani amekiandika! Kwa uzembe huu wa kurush vitu muhimu kama hivyo najiuliza ni watu wangapi wamekufa kutokana na miandiko ya hovyo!. Huwa tunasikia mtu kafanyiwa operation ya ubongo badala ya mguu, Sababu nyuma ya pazia ni hii miandiko ya ajabu! si kingine suala hili mamlaka zilikemee la sivyo ni kirusi kinachoua maelfu ya watu kimyakimya.