Secret Star
JF-Expert Member
- Jul 1, 2011
- 1,734
- 1,709
Kama hujui kusoma ni wewe,Wakuu najiuliza swali hapa, hivi miandiko ya Madoctor hadi leo imeshasababisha vifo vya watu wangapi kutokana na uzembe wa kutokuandika kwa vizuri, Kila doctor mwandiko wake anaweza kuusoma yeye mwenyewe! Muda mwingine hata yeye mwenyewe anasahau ni kitu gani amekiandika! Kwa uzembe huu wa kurush kwenye vitu muhimu kama hivyo najiuliza ni watu wangapi wamekufa kutokana na miandiko ya hovyo!. Huwa tunasikia mtu kafanyiwa operation ya ubongo badala ya mguu kutokana na miandiko si kingine suala hili mamlaka zilikemee la sivyo ni kirusi kinachoua maelfu ya watu kimyakimya.
Kwahiyo huu hausomeki?
Maabara tena?Hama hospitali. Bochi doctor haandiki labda akuandikie namba ya simu. Dawa zako utakutana nazo maabara.
muulize jamaaKwahiyo huu hausomeki?
Bochi.Hama hospitali. Bochi doctor haandiki labda akuandikie namba ya simu. Dawa zako utakutana nazo maabara.
Jambo la ajabu kwa mwandiko huu ukimfuata yeye ukamwambia soma eti kwa unafiki atajifanya anasoma na anaelewa
Weka ushahidiWakuu najiuliza swali hapa, hivi miandiko ya Madoctor hadi leo imeshasababisha vifo vya watu wangapi kutokana na uzembe wa kutokuandika vizuri, Kila doctor mwandiko wake anaweza kuusoma yeye mwenyewe! Muda mwingine hata yeye mwenyewe anasahau ni kitu gani amekiandika! Kwa uzembe huu wa kurush vitu muhimu kama hivyo najiuliza ni watu wangapi wamekufa kutokana na miandiko ya hovyo!. Huwa tunasikia mtu kafanyiwa operation ya ubongo badala ya mguu, Sababu nyuma ya pazia ni hii miandiko ya ajabu! si kingine suala hili mamlaka zilikemee la sivyo ni kirusi kinachoua maelfu ya watu kimyakimya.
PharmacyMaabara tena?