Madokta na wanasaikolojia wanawasaidiaje mashoga

Analogia Malenga

JF-Expert Member
Joined
Feb 24, 2012
Posts
5,108
Reaction score
10,191
Nimekuwa nikifanya research hii kwa muda sasa na bado naendelea na research hiyo, ya kwa nini kuna kuwa na vijana wanaopenda kuingiliwa (mashoga). Mbali na yote yanayosemwa lakini mkae mkijua kwamba sababu ya ushoga si umasikini.

Sababu kubwa ya ushoga ni unajisi ambao wamefanyiwa watoto wa kiume tangu wakiwa na umri mdogo hadi wanakua. Si ajabu leo kijana wa kiume mwenzako akiomba ukampige mashine eti kisa una misuli na mwili uliojengeka.Siiungi mkono serikali katika kutoa adhabu kwa watu hawa kwa sababu wengi wao wamenyanyaswa kijinsia aidha na ndugu zao au watu wanaowazunguka.

Katika hii research ambayo bado inaendelea ili nije na solution ya tatizo hili. Leo nimependa kuwauliza wataalamu wa saikolojia wanamtazamo gani juu ya hili swala.

Je na wao wamefanya research ili kujua jinsi ya kukabiliana na tatizo hili au ndo tumebaki katika kutaka adhabu kali iwekwe huku hatujui ukubwa w tatizo na kiini cha ushoga katika nchi yetu.

Ushoga unazuilika kwa msaada wa kitalamu kutoka kwa wanasaikolojia. Naomba majibu kutoka kwa wataalamu of the specific arena
 
kama hujui uliza sio kukurupuka juu ya chanzo cha ushoga eti kunajisiwa ??????
 
Una Sema Hu Ungi Mkono Unyayasaji Wao WaKijinsia Kwani We Naye Ni Nchele Nchele Au Nini Sema Tu Mkuu Watu Wale Bwa Bwa Ilo?
 
Una Sema Hu Ungi Mkono Unyayasaji Wao WaKijinsia Kwani We Naye Ni Nchele Nchele Au Nini Sema Tu Mkuu Watu Wale Bwa Bwa Ilo?
Afu katika research nimeshawaowa sana....kwo angalia.....naweza kuja kuchukua hiyo duara muda wowote ohoo! mi ndo man in all reasons, nikimwaga sha...wa kama champaign...kuwa na busara
 
kama hujui uliza sio kukurupuka juu ya chanzo cha ushoga eti kunajisiwa ??????
Nadhani watu wa kuwa jf wawe walau na degree moja kwend mbele..hawa watoto wa la saba wanasumbua tu humu. If you have done a research...speak what you have discovered...sio unajibu hoja kama la saba
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…