Madokta naitaji majibu yenu sahihi

Joined
Jan 6, 2018
Posts
29
Reaction score
5
Nilichoma sindano mwezi Wa 9 mwaka Jana ikatakiwa kuisha mwez wa11 katikati ya mwez uo nilitakiwa niingie period but mpaka mwaka huu January sijaona ata tone la damu.nilivoona ivo nikaend kwa dokta akaniambia kuna homoni zang ziko juu kwaio kuna dawa natakiwa nitumie nimejaribu vile vidonge va uzazi va rangi nyekundu maan zile huleta hedhi ila mpaka Leo sijaona nisaidieni
 
pole mdogo wetu ukipona usirudie tena nenda hospitali ya rufaa mtafute daktari bingwa atakusaidia.
 
nani alikwambia hivyo vidonge vya rangi nyekundu huleta hedhi???
Hakuna kitu kama hicho.
We kausha miezi miwili bila vidongwe wala sindano, uvumilivu ukikushinda tumia condom.
Baada ya hapo, ndio uchague njia ya kuendelea nayo ila sio sindano tena, ni vyema ukaja chagua ya vidonge
 
Pole sana ila kwanza ulitakiwa urudi palepale ulipochoma sindano ndani ya mwezi ambao hukuona mp ina maana sindano hiyo ilikukataa ndio maana hukuona mp mpk sasa cha kufanya rudi ulipohudumiwa uende uzazi wa mpango watakusaidia na si vinginevyo
 
Sindano aliyo kuchoma Daktari ndio iliyo sababisha wewe usipate siku zako za hedhi haikuwa sindano nzuri ndio maana mpaka leo haujapata damu yako ya hedhi nione nipate kukutibia upate kupona. Utamaliza Sindano na kupewa dawa za kushusha Hormone zako lakini kupata damu itakuw akwako ni hadithi ukiweza nitafute kwa wakati wako niapte kukutibia upate kupona.
Ukiwa na Shida yoyote ile
Usipo pona kwa Dawa za Hospitali nitafute mimi nipate kukutibia upate kupona ukihitaji matibabu yangu
Unaweza kunitafuta kwa Mawasiliano Herbalist Dr. MziziMkavu Email barua ya pepe.fewgoodman@hotmail.com What's App +905344508169 Au Ni add Kwa Facebook tumia jina hili mzizimkavu. Au boonyeza hapa.Mzizi Mkavu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…