Madona na mwanaye wa kiume

Madona na mwanaye wa kiume

geesten66

JF-Expert Member
Joined
Sep 14, 2017
Posts
2,042
Reaction score
2,370
Pichani Madonna na mtoto wake Banda aliye mchukua kwenye kituo cha watoto yatima nchini Malawi Akiwa na miezi 13 sasa amekuwa kijana mkubwa.

1717440646230.jpg
 
Madona mwenyewe alikuwa muhuni kwenye show zake za muziki hakuonesha maadili kwa mashabiki zake atawezaji kulea watoto katika maadili? Ni usagaji na ushoga kwa kwenda mbele dhahiri angewalea watoto hao!
 
Back
Top Bottom