Hqo ndiyo mastaa ila kuna wengine ukizikwa tu wanakusahau kabisaAisee!! Yani barua ya Pac imekua deal 2018?
Jamaa kama bado anaishi tu
Tena mnaye gombania mpaka kila siku wa uwanja[emoji4][emoji4][emoji4][emoji4]Leo hiii mtu ununue barua ya kuachana ya jirani yako, tupo tofauti sna
Sie barua ukiisoma tu unaitupa, hujambo lakinihatati sana...Jamaa wanaishi kWa kumbu kumbu mnooo aisee
Haaaa jamani! Kuachwa kwa maisha yakwetu ni mtihani sanana baruwa ya kiba100 kumtema jokate kipere sijuwe mnada wake lini
Hahah!! Kweli kuna watu walikufa ila kama wameacha doa duniani huwa hawasahauliki kama Pac na Bob marleyHqo ndiyo mastaa ila kuna wengine ukizikwa tu wanakusahau kabisa
Ndiyo hivyo ukifanya mambo mazuri yawagusayo watu wengi lazima wakukumbukeHahah!! Kweli kuna watu walikufa ila kama wameacha doa duniani huwa hawasahauliki kama Pac na Bob marley
Nikweli kabisaNdiyo hivyo ukifanya mambo mazuri yawagusayo watu wengi lazima wakukumbuke
Kibri cha pesa [emoji1] [emoji1] [emoji2] [emoji2] [emoji2]Leo hiii mtu ununue barua ya kuachana ya jirani yako, tupo tofauti sna
Yaani hapo angeinunua mwenyewe kama anaona aibu [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Anaenunua hiyo barua ananufaika nini
The Nigga had got a bitch to fu......2pac alikuwa ki Ben10 cha Madonna halafu anajidai kuimbaiamba bitch ain't a shit, nyambaaaaaaaaaaaf
prestige & prideAnaenunua hiyo barua ananufaika nini
[emoji2][emoji2][emoji2]Sie barua ukiisoma tu unaitupa, hujambo lakini
Waje kwangu niwatengenezee barua kama hizo 10000Yan mkuu nimecheka mwenyewe kimoyo moyo kwel wazungu wanahela za mchezo
HahahahhahaaaàaWaje kwangu niwatengenezee barua kama hizo 10000
Jamaa hakua hardcore/solid wala nini,unaambiwa ganja liliungwa kama mnyororo na madem walikua wanapishana2pac alikuwa ki Ben10 cha Madonna halafu anajidai kuimbaiamba bitch ain't a shit, nyambaaaaaaaaaaaf