Madonna: 'Mwanangu atakuwa rais wa Malawi'

Kuna kipindi nilisikia mama halisi wa huyo mtoto anamtaka mwanae sijui iliishia wapi!??

Hata mimi ningekua huyo mtoto nisingekubali kurudi kwa mama halisi...
hahaaaa hata mimi mkuu ..kuna watu wanabahati zao aisee
 
mama mzazi anaempenda mwanae lazima afurahie mwanae akipata maisha mazuri...

nina imani mama zetu wengi africa wanepata nafasi ya watoto wao wahasiliwe na wazazi wenyw maisha mazuri kama madonna.. wangekubali kuwatoa watoto wao kwa roho nyeupe sana...

kama mzazi anaruhusu binti yake awe house gal kwa mtu asiyemjua... why not amkatalie madonna anaejulikana na kila mtu kwamba ana roho nzuri
 
Kuna tetesi kuwa wakishakuza wanawageuza waume zao kisirisiri[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ujinga wako, na hao wa kike anakuwa anawageuza kuwa nani? Halafu Madonna anashida ya mwanaume?
 
Watu kutoka mataifa ya Dini ya mnyazimungu wakiruhusiwa kuasili watoto lazima wawageuza kuwa watumwa wapende wasipende!
 
Wazungu bhana waacheni waitwe wazungu kuasili watoto 4 sio mchezo kabisa
Samahani nitoe uchafu machoni, kuasili maana yake nini? ina maana hajawazaa yeye? kama hutajali niambie kwa lugha ya kigeni naweza kuelewa haraka kuliko msamiati wa Kiswahili chetu pendwa
 
Samahani nitoe uchafu machoni, kuasili maana yake nini? ina maana hajawazaa yeye? kama hutajali niambie kwa lugha ya kigeni naweza kuelewa haraka kuliko msamiati wa Kiswahili chetu pendwa
Kwa lugha ya ulaya ni adoption.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…