Madonna: 'Mwanangu atakuwa rais wa Malawi'

Kuna tetesi kuwa wakishakuza wanawageuza waume zao kisirisiri[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Inawezekana maana wazungu bwana!!!! Sema sijajua wamepishana miaka mingap
 
Samahani nitoe uchafu machoni, kuasili maana yake nini? ina maana hajawazaa yeye? kama hutajali niambie kwa lugha ya kigeni naweza kuelewa haraka kuliko msamiati wa Kiswahili chetu pendwa
Sorry ndugu vyuma hivi sijaingia muda ndo maana nimechelewa kujibu child adaption ndo kuasili ndugu yangu ajawazaa yeye, kwa wenzetu ni kawaida kabisa unaweza kuta mtu hataki kuzaa au anamatatizo au pia anataka watoto wengi lakini hana muda wa kuzaa wana adapt hata Angelina Jolie na mumewe wa zamani wameasili watoto wengi , kuna vigezo na masharti pia Kama lazima uwe ndoa Mahusiano bachelor hurusiwi, pia mambo ya kipato etc
 
Ahsante sana
 
Kuna kipindi nilisikia mama halisi wa huyo mtoto anamtaka mwanae sijui iliishia wapi!??

Hata mimi ningekua huyo mtoto nisingekubali kurudi kwa mama halisi...
Sentensi ya mwisho nimecheka kwa nguvu sana
 
Wazungu bhana waacheni waitwe wazungu kuasili watoto 4 sio mchezo kabisa
Sisi weusi kuna baadhi ya watu hata wawe na uwezo kiasi gani kumlipia mtoto wa ndugu yake japo muhula mmoja wa masomo hawawezi,tena unakuta ni ndugu damu moja.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…