Madonna penzini na kijana wa miaka 25

Super Villain

JF-Expert Member
Joined
Jan 2, 2019
Posts
9,391
Reaction score
21,045
Habari wakuu, niende moja kwamoja kwenye hii habari.

Taarifa zilikuwa zikienea kuwa nyota huyo wa muziki duniani mwenye umri wa miaka 61 amekuwa akitoka na kijana huyo ambaye ni mnenguaji wake, Baba mzazi wa Ahlamalik, Drune amethibitisha kuwa ni kweli wa wili hao wanatoka kimapenzi na wamefikia hatua kubwa sana.

Mzee aliendelea kuzungumza kuwa penzi la kijana wake na Queen of Pop lina mwaka mmoja sasa na walikutana mwaka 2015 kwenye usaili wa wanenguaji ambapo Madonna alimpitisha Ahlamalik kati ya wote waliokuja.

Usifikiri kama baba wa kijana huyo labda anaumia kuwa mwanaye kulipenda Jimama alimaliza kwa kusema mapenzi hayana umri na mwanae anaishi maisha mazuri na anafurahia.

"Love has no age, my son is livin la Vida loca and I'm just happy for him"

 
Wanawake wa Kizungu tabia zao mbaya sana, kumvulia €hΓΌΒΆ! mtoto sawa na mjukuu wako huko ni kujitoa ufahamu.

Huyo dogo naye anamuangaliaje maana wabibi huko chini kunatisha kweli kweli

Nakumbuka early 2000 kipindi hiko nakua ndiyo najifunza uhuni, tulipiga chabo guest moja Manzese tukakutana na scene ya maza wa mshkaji wetu anakazwa, aisee kuna namna ilitokea wakataka kukaa style moja sasa bahati mbaya ikatokea tukaziona sehemu zake aisee zilikuwa zinatisha.

Ule usemi kwamba ukiangalia nyeti za watu wazima utapofuka niliziamini maana nilipigwa wenge moja matata sana wiki nzima nikawa sijielewielewi.

Sent from my Redmi Note 5 using Tapatalk
 
Sir_Mimi,

Sidhani kama kuna serious relation hapo. Kijana ana ndoto nyingi; atataka watoto nk, hatodumu sana hapo.
 
Madonna Nimemuelewa Sana, Bila Shaka Huyo Jamaa Anampandisha Vema Kileleni Kama Shamte Na Mama Diamond. Kuloweka Ni Habari Nyingine πŸ˜„πŸ˜ƒπŸ˜…πŸ˜…πŸ˜‹πŸ˜‹πŸ˜˜πŸ˜πŸ€©
 
Kama hii picha ndio alivyo sasa,basi umri sio issue kabisa.

macson
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…