Madonna second adoption in Malawi!

kama kweli madonna anaadopt those children sincerely bila kuwa na evil motives basi anfanya jambo la maana sana anastahili kuigwa otherwise only God knows
 
kama kweli madonna anaadopt those children sincerely bila kuwa na evil motives basi anfanya jambo la maana sana anastahili kuigwa otherwise only God knows

...mbona una m -doubt madonna pekee? Vipi kuhusu Orphanage aliyofungua Malawi, na charities alizoanzisha kusaidia watoto yatima?
 
...sawa sawa madonna, uchungu wa mwana unauma...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…