Adharusi
JF-Expert Member
- Jan 22, 2012
- 14,422
- 7,350
Mara imekua ikinitokea,mimi ni mtu ninaependa kunywa maji mara kwa mara,mfano nikikaa masaa ma4,bila kunywa Maji,mara nitakapo kunywa tu,jasho linaanza kutililika mwilini....!au nikitembea umbali wa mita miatatu,alafu nikachukua maji nikanywa,jasho litanitiliika
CC madr wote JF
MziziMkavu,nataka kujua je ninatatizo?
Kilo zangu ni 84
CC madr wote JF
MziziMkavu,nataka kujua je ninatatizo?
Kilo zangu ni 84
Last edited by a moderator: