lugola sixbeth
Member
- Mar 25, 2019
- 25
- 8
Huenda zidane akawa kocha wa kwanza kufukuzwa LA liga msimu huu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwenye ligi gani mkuu, preseason matches ndo zinatoa picha ya msimamo wa timu katika ligi?Kapigwa saba na vibonde
Exactly 2b franckly real Madrid hawajaziba pengo LA CR 7 hawana attacking force mkuu na watachemka msimu huu vbyKwenye ligi gani mkuu, preseason matches ndo zinatoa picha ya msimamo wa timu katika ligi?
Hata arsenal kamfunga bayern pre season ila tuone wakikutana kweny ligi yoyot msim kama atawez wafungaKapigwa saba na vibonde
Hilo shipa FC.Huenda zidane akawa kocha wa kwanza kufukuzwa LA liga msimu huu
Probably. Tuombe Mungu.Huenda zidane akawa kocha wa kwanza kufukuzwa LA liga msimu huu