Wiki iliyoisha tulikamilisha usahili wa sensa lakini Kuna maajabu ambayo mimi niliyashuhudia kwa macho yangu kwenye majina ya sensa yaliyotoka yalikuwa Kama 38 kata nzima wakati tunaelekea kumaliza zoezi la sensa ghafla likaibuka kundi la walimu wa shule jirani na ofisi ya kata ambapo tulikuwa tukifanyia usaili wale walimu baadhi tuliwahoji kulikoni.
Wakadai wametumiwa meseji kwenye simu na mtendaji waje wafanye usaili ingawaje kwenye orodha ya majina yaliyotoka hawamo na walifanikiwa kufanya usahili kitu kilichokuwa kuniacha mdomo wazi kuna baadhi ya watu ambao hata hawakufanya maombi ya sensa nao walifanikiwa kufanya usahili
Nikawa nawaza hivi Yale maombi ya sensa tuliotuma mtandaoni yalikuwa na maana gani Kama watu wamefanya usahili na hawakutuma maombi ya sensa. Hili ni ajabu ambalo nimelishuhudia kwa macho yangu. Andiko langu lijalo nitaelezea Jinsi viashiria vya Rushwa vilivofanyika kwenye sensa, ni hayo tu