Pole sana awamu nyingine tafuta connection,
Unategemea mm mtendaji nimepewa laki 2 kwa nn nisimwandike hadi nikupe ww ambae sikujui
Hakika ulisema ukweli lkn watu walikubeza sana, wakiamini kwamba wana koneksheni lkn cha kushangaza hao walioamini kuwa wana koneksheni ndio wanaongoza kwa kulalamika juu ya mchakato ulivyokuwa.Tulipokuwa tunapiga kelele humu hayo usaili usifike katani uishie NBS kuna watu wakawa wanaona tuna chuki na watendaji na Halmashauri, ninajua mengi Sana yanayofanyika Serikali za mitaa ila tunakaa kimya.
Mimi Sina Cha kukuhurumia kwa Sababu inawezekana nawe uliamini katika connection
Kua watu wana njaa sana Nchi hiiTulipokuwa tunapiga kelele humu hayo usaili usifike katani uishie NBS kuna watu wakawa wanaona tuna chuki na watendaji na Halmashauri, ninajua mengi Sana yanayofanyika Serikali za mitaa ila tunakaa kimya.
Mimi Sina Cha kukuhurumia kwa Sababu inawezekana nawe uliamini katika connection