Madudu mpya sekretariet ya ajira

Madudu mpya sekretariet ya ajira

Tafakuru

Member
Joined
Dec 9, 2011
Posts
83
Reaction score
33
Jana mishale ya sa 2 aubui, kulikua na written interview mitaa ya mwembe yanga kupata watumishi wapya wa serikali yetu. Kwa hesabu za makadirio ( ambazo pia zinakubalika), nusu ya walioitwa ndio walofanya usahili huo. Takwimu za uhakika, zinaonesha kati ya watakwimu wa daraja la pili 53 walioitwa, ni 17 tu waliopitishwa kufanya usahili kushindania nafasi ya kufanya oral interview kwa nafasi 10. Kigezo kikubwa kilichotolewa ni kukosa cheti kimoja hasa kile cha degree..
Maswali nnayojiuliza

  • Ilikuaje kuwashortlist, kuwatoa gazetini na kuwapigia sim watu kutoka tanganyika nzima kuja kufanya usahili huku mkijua mliowaita hawakuwa na vigezo kamili???
  • Is transcript not valid for one year???
  • Sheria ya ajira inataka uwiano wa nafasi moja kushindaniwa na watu watatu kwenye oral interview, ss ratio hii mpya ya nafasi moja kwa watu 1.7 imeanza lini ambapo ni kinyume na sheria??
  • Vp ndugu zetu walioajiriwa kwa kutumia transcript kama kula TFNC, waaalimu na wengine lukuki mwaka huu huu???
  • Inamaanisha sisi wahitimu wa chuo kikuu Dar-es-salaam tumetolewa kwenye sokoo la ajira la serikali adi apo mfumo mbovu wa utoaji vyetu utakapo kamilika???
  • Mabosi wenu wanataarifa kamili ya yaliotoke jana mitaa ya maktaba complex kwenye ofisi zenu??
  • Ushauri
  • Tufanye kazi kwa kutumia sheria na si ubabe wa watu wachache. Pindi mnapokosea msiforce issue ila rekebisheni utendaji wenu. Nnanashinikiza sekretarieti ivunjwe au ifumwe upya...
  • Naombeni mwenye namba au e-mail ya Said Kubenea anisaidie
 
Waliponiua ni pale wanaposema, kama ni muajiriwa tayari usiombe. Unakuta kazi yenyewe inalipa vizuri na tangu umalize Chuo miaka 2 ilopita hujarekebishiwa mshahara.
 
iliniumiza zana coz nilifunga safari kutoka mbeya halafu mambo yakawa hivyo.imenicost sana
 
Hawa jamaa wameniita usaili wa next week 27/04/2012 MUCcobs huko Moshi. Nimemaliza chuo 2011 na nina transcript ina maana sitaruhusiwa kufanya usahili kwa kutumia transcrit????? Msaada tafadhali.
 
Hawa jamaa wameniita usaili wa next week 27/04/2012 MUCcobs huko Moshi. Nimemaliza chuo 2011 na nina transcript ina maana sitaruhusiwa kufanya usahili kwa kutumia transcrit????? Msaada tafadhali.

Kiongozi kama una transcript hata usitie maguu huko ni noma hawa jamaa hawajali umetoka wapi. Fuatilia cheti mkuu nimeshuhudia kwa macho yangu. Nenda navyeti vinne tu Cha kuzaliwa, O' level, A' level na cha chuo hawahitaji zaidi ya hivyo.
 
Hili suala liliwahi kutokea wizara ya maliasili mwaka 2008 ikafanya wengi waliomaliza SUA wakapata kazi. Niliambiwa pia wizara ya mifugo na uvuvi wao waliamua kuwafanyia interview (nafasi za fisheries officers) hivyo hivyo lakini waliopata kazi asilimia 70 walikuwa wa SUA lakini ukilinganisha kozi ya uvuvi kabisa hutolewa UDSM.

Sasa tufanyaje, tupeleke malalamiko UDSM wabadili utaratibu wa kutoa vyeti au tuwasiliane na wizara husika waliangalie suala hili?.
 
hv wadau ebu nielekezen, kwanza chet cha digrii huwa kinaonyesha matokeo coz ninachojua mimi transcript ndo inaonyesha matokeo yako. plz naomba mnielekeze wadau
 
Unapata,mi nimepata kazi kwa matokeo ya trans na inter tulifanyiwa na hao hao utumishi waory not wakiuliza we waeleze.huwa wakati wa kuajira usalama wa taifa huwa wanachunguza.
 
hv wadau ebu nielekezen, kwanza chet cha digrii huwa kinaonyesha matokeo coz ninachojua mimi transcript ndo inaonyesha matokeo yako. plz naomba mnielekeze wadau

Mimi ninavyojua ile transcript inatengenezwa pale pale chuo ila vile vyet huwa vinapelekwa kama ni TCU ama NACTE kwa kuvihakikisha. I mean transcript hata wewe waweza kugush ila kile cha degree huwez kuna pahala ukigush utakwama.
 
Mimi naona bora kipind cha nyuma kuliko sasa mana hii secretariet sasa imekua balaa zaid na ngumu kupata coz ni full unfair.
 
Kiongozi kama una transcript hata usitie maguu huko ni noma hawa jamaa hawajali umetoka wapi. Fuatilia cheti mkuu nimeshuhudia kwa macho yangu. Nenda navyeti vinne tu Cha kuzaliwa, O' level, A' level na cha chuo hawahitaji zaidi ya hivyo.

Shukrani kwa info mkuu. Acha nile zangu sato za baba mie nishajichokea na madudu ya hii serikali, khaa.!!!
 
Pole mpendwa!!kama uko mbali usijaribu kwenda ndivyo wanavyofanya ilitokea Arusha Tech tarehe 21/3/2012,Interview ya watu 150,ilifanywa na watu 21 tu wenye vyeti,ndugu waliofunga safari toka mbeya walilia sanaaa,na hawa ku refund chochote.
 
hv wadau ebu nielekezen, kwanza chet cha digrii huwa kinaonyesha matokeo coz ninachojua mimi transcript ndo inaonyesha matokeo yako. plz naomba mnielekeze wadau

Mkuu transcripts ndo inaonyesha matokeo ya masomo uliyokuwa unayasoma, cheti cha digrii kile kinaonyesha matokeo ya jumla(GPA).
Kama ukiitwa na hawa jamaa wa Sekretarieti ya ajira nenda navyo vyote maana trh 20 April nikienda ktk interview wakahitaji vyote.
 
Ni vema akaenda na vyeti vyote kama anavyo..hata ivyo, kuna wenzangu wengi tu wameajiriwa na sekretariet hii hii kwa kutumia transcript, kwa iyo kama cheti chako hakijatoka na hautopata gharama kwenda kwenye eneo la tukio na transcrpt you might try ur lucky and use their inconsistency
 
Back
Top Bottom