Tetesi: Madudu ya Startimes mbele ya TBC kuanikwa soon

Tetesi: Madudu ya Startimes mbele ya TBC kuanikwa soon

Yusomwasha

JF-Expert Member
Joined
Dec 5, 2014
Posts
2,092
Reaction score
839
Kuna tetesi kuwa madudu ya mkataba kati ya TBC na startimes kwenye utumizi wa mitambo yataanikwa soon.

Hawa wachina wajiandae kisaikolojia tu
Inafurahisha sana wachina zamu yenu ya kunyooshwa imewadia

Mwenye makubaliano kati ya startimes na TBC kwamba walikubaliana nini atuwekee hapa au vipengele vya huo mkataba.
 
Wajiandaaje tena kivipi zaidi...wakati Rais alipita kwenye ofisi zao kuwapa yake, siku alipokuwa anatokea TBC!?

Yaani wanajua hapa kazi tu kivyovyote
 
Hamna nama kama mikataba ya kinyonyaji ishughulikiwe tu. Na hii ikifanikiwa sijui itakuwa ajenda ya nani, maana madini ilikuwa ya Mnyika
 
!
!
daktari mzuri wa meno ni yule ambaye jino likitingishika tu kidogo analing'oa hataki utani..... Teh teh teh teh
 
Kuna watz wenzetu pia vibarua vyao vitaota nyasi
 
Back
Top Bottom