Yusomwasha
JF-Expert Member
- Dec 5, 2014
- 2,092
- 839
kvp mkuu?Wajiandaaje tena kivipi zaidi...wakati Rais alipita kwenye ofisi zao kuwapa yake, siku alipokuwa anatokea TBC!?
Yaani wanajua hapa kazi tu kivyovyote
waondoke tuKuna watz wenzetu pia vibarua vyao vitaota nyasi
Wajiandaaje tena kivipi zaidi...wakati Rais alipita kwenye ofisi zao kuwapa yake, siku alipokuwa anatokea TBC!?
Yaani wanajua hapa kazi tu kivyovyote
Unakumbuka ni nini Rais aliongea?