CHAI CHUNGU
JF-Expert Member
- Feb 20, 2012
- 7,113
- 933
Mbona nilisikia imeshatumwa Uturuki last week
Yes,inawezekana itc imekwenda too late mkuu.
Ila TFF wamekana kiaina!!
Amekuja kubadilisha viza yake, ambapo sasa atakuwa na viza ya SPORTS, na soon atarudi Uturuki kuendelea na Game.
View attachment 48068