Gosbertgoodluck
JF-Expert Member
- Mar 3, 2008
- 2,855
- 402
Wandugu wanaJF,
Katika eneo muhimu tunalopaswa kuangalia kwa umakini mkubwa kwenye mapitio ya katiba yetu, ni uadabishaji wa viongozi pamoja na rais mwenyewe wanaofanya madudu wakiwa kwenye hatamu. Katibu mpya lazima itoe fursa hiyo, kama ilivyo kwa wenzetu USA na nchi nyingine nyingi. Kwa kufanya hivyo, madudu ya viongozi yatapungua au kwisha kabisa.