Madudu ya wakuu wa shule za sekondari

petrokijashi

New Member
Joined
Sep 16, 2013
Posts
1
Reaction score
0
Ndg zanguni ,Tumsifu YESU KRISTU? ya leo kutoka wilayani Hanang' Mkoa wa Manyara,huku ndio ukabila uliko bakia enzi za Mwalimu JK NYERERE alipokua anakomesha ukabila,wewe kama sio MBULU hakijaeleweka hususani ktk sekta ya ELIMU,KILIMO,huku swala la viwango vya Elimu na vigezo havizingatiwi ktk mgawanyiko wa kazi maalum kwawale WAALIMU nadhani tuko pamoja, Leo ndg nakupa kisa kimoja tu kuthibitisha nilichosema,Mkuu mmoja wa shule ya sekondari aliwalipa waalimu wake kinyume cha utaratibu uliowekwa na chama cha mitihani ya mock form TWO wilayani Hanang’ Manyara kiitwacho SYNDICATE kusimamia mitihani alilipwa Shs.25,000/= badala ya kulipwa Shs 75,000/= lakini kiwango hicho kilitengemea idadi ya wanafunzi ktk shule husika ,huyu mwalimu wa kiwango cha degree akaamua kufanya utafiti na kuwasiliana na shule jilani nakugundua Mkuu wa shule kamfisadia ndipo akacchukua jukumu la kumfata ofisini na kudai kiwango kilicho baki kwa kufafanua mchanganuo wa pesa iliwekwa na chama hicho na kumtishia kumpeleka sehemu husika Mkuu wa shule akakubali kulipa shs.50,000/= iliyobaki.Mkuu huyu huficha hata baarua zinazo onyesha utalatibu ili tu waalimu wabaki ktk hali ya kutokujua chochote hivyo waalimu hivi sasa wanautalatibu wao wakugoma kwani wamechoka na utendaji wake mbovu wa kazi sasa hii ni changamoto kwa wizara ya elimu na wadauu wa elimu nchini yaani stakeholiders.Ndugu msomaji hiyo ndio Manyara nitazidi kukuhabalisha.
 
hii ungepeleka jukwaa la elim kule hapa sio mahala pake.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…