Maduka gani ya jumla kariakoo yanayouza dawa kwa bei rahisi

Maduka gani ya jumla kariakoo yanayouza dawa kwa bei rahisi

Nenda mdee pharmacy ..Iko karibu na sheli ya big bon..na ofis nyingine iko mnazi Uno
 
Kuna pharmacy inaitwa MD Pharmacy,ninaweza kukupa namba zao.
 
Naomba namba yake

Screenshot_20220616-190511_Contacts.jpg
Screenshot_20220616-190529_Contacts.jpg

Salama ni nafuu zaidi.
 
Unguja pharmacy
heko pharmacy
moraf pharmacy
Salama pharmacy
Bariki pharmacy
Core pharmacy
Planet pharmacy
Umoja pharmacy
Samiro pharmacy
Dossa pharmacy

NB :heko pharmacy, unguja pharmacy ,salama pharmacy na moraf pharmacy hao bei za rafiki sana kwa sababu ndio Wana import dawa na ndio distributor katika pharmacy tajwa hapa juu
 
Wanataka kuanzia kiwango gani cha chini cha pesa..??
 
Back
Top Bottom