Business707
Member
- Jul 16, 2021
- 6
- 4
Fafanua, dawa za aina gani? Binadamu au wanyama?Nawakilisha
Fafanua, dawa za aina gani? Binadamu au wanyama?
Dawa gani?za binadamu au mifugo?
Naomba namba yakeKuna pharmacy inaitwa MD Pharmacy,ninaweza kukupa namba zao.
Wanataka kuanzia kiwango gani cha chini cha pesa..??Unguja pharmacy
heko pharmacy
moraf pharmacy
Salama pharmacy
Bariki pharmacy
Core pharmacy
Planet pharmacy
Umoja pharmacy
Samiro pharmacy
Dossa pharmacy
NB :heko pharmacy, unguja pharmacy ,salama pharmacy na moraf pharmacy hao bei za rafiki sana kwa sababu ndio Wana import dawa na ndio distributor katika pharmacy tajwa hapa juu
Unataka kufungua duka la wholesale au retail?Wanataka kuanzia kiwango gani cha chini cha pesa..??