Roving Journalist
JF Roving Journalist
- Apr 18, 2017
- 3,984
- 13,760
Mungu awabariki muendelee kuyafunga kwani hasara ni za kwenu sisi tunasubiri marejesho tu mkishindwa tunakamata dhamana.Licha ya kuripotiwa kuwepo kwa suluhu kwenye baadhi ya madai ya Wafanyabiashara waliyowasilisha Serikalini na kufanyika kikao cha pamoja lakini mpaka kufikia Saa tatu Asubuhi hali ya mgomo inaonekana kuendelea maeneo ya Kariakoo ambapo maduka mengi yameendelea kufungwa.
Itakumbukwa kwamba jana June 24, 2024, Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam alitoa wito kwa Wafanyabiashara wa Kariakoo kufungua maduka yao na kuwataka wasitishe mgomo.
Hata hivyo alidai Serikali inaweza kuweka ulinzi eneo la Kariakoo hata kwa mwezi mzima, kama wataamua kutofungua maduka mpaka madai yao yatakapopatiwa majawabu.
😂😂😂Safi sana wafanyabiashara.shikilieni hapohapa Hadi bibi chura aje mwenyewe atengue Sheria kandamizi zilizopitishwa na bunge kibogoyo.
Msiwashabikie hao wanapoteza muda wa kufanya biashara.kufa kufanana wamachinga pigeni kazi huu ni muda mwafaka kwenu kutengeneza faida.Safi, hii ni ishara nzuri ya kuonesha ukomavu na msimamo dhahiri kwa wafanyabiashara.
Hii nchi haiwezi kwenda kwa maneno bila vitendo.
Siasa uchwara zimezidi kwenye maisha ya watu.
Ni muda sasa wa viongozi kusikiliza na kuzitafutia suluhisho chanya hoja za wafanyabiashara
...most powerful picture.Uhalisia