A
Anonymous
Guest
Kuna kitu kimejificha kwenye hili kati ya Pharmacy Council na wamiliki wa DLDM (Maduka ya Dawa Muhimu), Kwa nini mpaka leo dawa za antibiotics zinauzwa tu kwenye DLDM licha ya katazo?
Wenye Famasi wanahangaika kupata mapato na gharama za uendeshaji ni mkubwa tofauti na DLDM.
Tunaomba mamlaka husika walifanyie kazi hili ili kuwe na usawa kati ya Famasi na DLDM.