Maduka ya dawa za binadamu origino yako wapi Dar es Salaam?

AZUSA STREET

JF-Expert Member
Joined
Oct 31, 2013
Posts
2,007
Reaction score
1,897
WANDUGU, DOGO anataka kufungua duka la dawa phamacy kigamboni hapo, na ninafahamu kuna uvumi wa dawa bandia nyingi mtaani. mimi pia nitatia mguu kumsapoti, hivi kwa hapa dsm, ni maduka gani ya jumla ninaweza kupata dawa ambazo nina uhakika ni genuine na kwa bei nzuri. pia, dawa nyingine tunauziwa tunaona zimetoka india, UK etc, je, watu wanafuata kununua kulekule au kuna branch zao hapa bongi. kuna viwanda vya madawa vingine kama shellys vya hapa dsm, je, unaponunua unawafuata kiwandani au wana maduka yao.

kwa mwenye uelewa na biashara hii naomba tujadili kwa faida ya wote. asanteni.
 
kwa wale wanaojua maduka ya dawa feki tunaomba mtutajie hapa, na yale original tunaomba tuyataje pia kwa faida wa watz.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…