Maduka ya jumla ya pipi

Maduka ya jumla ya pipi

Habari , naomba kujua machimbo ya maduka makubwa ya jumla ya pipi ili niweze kununua nami nikauze jumla
Nenda kitumbini- Jamhuri street, kule unapita mnazi mmoja.. chini kidogo ya soko la Kisutu na pembeni kidogo ya kituo Cha mwendo kasi Cha Kisutu Dar es Salaam. Huko utapata aina zote za pipi.. pia Chimbo lingine Nenda Kituo Cha Mwendokasi Cha Gerezani Kisha ukiwa umesimama hapo.. Tazama mbele opposite ng'ambo ya barabrara Kuna Mtaa fuata Mtaa huo.. jengo la pili kulia chini utaona maduka ya Bidhaa zako.
Ukishindwa:- [emoji3513]0674 7454 63
 
Ukishindwa:- [emoji3513]0674 7454
Opposite kituo cha mwendokasi nimeenda ila wao wanauza jumla kwa watu wa rejareja, mimi nataka kuuza kama wao kwa jumla kwa watu wengine.
 
opposite kituo cha mwendo kasi nimeenda ila wao wanauza jumla kwa watu wa leja leja mimi nataka kuuza kama wao kwa jumla kwa watu wengine
Nenda Kitumbini-Jamhuri street ((Kuanzia kwenye Shelli ya PUMA)) Ushindwe mwenyewe.
Mfano:- Wanauza Box la Big G za GOMBA by that time ((sijui leo kwa kweli )) liliuzwa Elfu 28 -29.. Wakati wewe utaenda kumuuzia mtu mwingine/watu wa dukani Elfu 31-32 ambapo hii ni Bei sawa na wanaouza maduka yote ya Jumla ya mtaani ((Minimum faida huwa ni Elfu 2 per box ))
Yule utayekuwa umemuuzia yeye ataenda kuuza kwa reja reja Big g Tsh. 50 - 100 /1pc.

May God Bless you.
 
Nenda Kitumbini-Jamhuri street (( Kuanzia kwenye Shelli ya PUMA )) Ushindwe mwenyewe.
Mfano:- Wanauza Box la Big G za GOMBA by that time ((sijui leo kwa kweli )) liliuzwa Elfu 28 -29.. Wakati wewe utaenda kumuuzia mtu mwingine/watu wa dukani Elfu 31-32 ambapo hii ni Bei sawa na wanao uza maduka yote ya Jumla ya mtaani (( minimum faida huwa ni Elfu 2 per box ))

God bless you too...asante
 
opposite kituo cha mwendo kasi nimeenda ila wao wanauza jumla kwa watu wa leja leja mimi nataka kuuza kama wao kwa jumla kwa watu wengi
namba kama haija
Nenda kitumbini- Jamhuri street, kule unapita mnazi mmoja.. chini kidogo ya soko la Kisutu na pembeni kidogo ya kituo Cha mwendo kasi Cha Kisutu Dar es Salaam. Huko utapata aina zote za pipi.. pia Chimbo lingine Nenda Kituo Cha Mwendokasi Cha Gerezani Kisha ukiwa umesimama hapo.. Tazama mbele opposite ng'ambo ya barabrara Kuna Mtaa fuata Mtaa huo.. jengo la pili kulia chini utaona maduka ya Bidhaa zako.
Ukishindwa:- [emoji3513]0674 7454 63
asante nitakujuza kama nilifanikia
 
Nenda Kitumbini-Jamhuri street (( Kuanzia kwenye Shelli ya PUMA )) Ushindwe mwenyewe.
Mfano:- Wanauza Box la Big G za GOMBA by that time ((sijui leo kwa kweli )) liliuzwa Elfu 28 -29.. Wakati wewe utaenda kumuuzia mtu mwingine/watu wa dukani Elfu 31-32 ambapo hii ni Bei sawa na wanao uza maduka yote ya Jumla ya mtaani (( minimum faida huwa ni Elfu 2 per box ))
Yule utayekuwa umemuuzia yeye ataenda kuuza kwa reja reja Big g Tsh. 50 - 100 /1pc.

May God Bless you.
Aisee thanks for sharing, kuna big g nazitafuta bei ya jumla, ngoja nikawatembelee
 
Back
Top Bottom