nover JF-Expert Member Joined Apr 7, 2012 Posts 239 Reaction score 178 Sep 21, 2021 #1 Habari wadau. Nategemea kufungua kibanda cha kuuza vifaa vya umeme maeneo ya Mkuyuni Mwanza hivi karibuni. Kwa mnaojua machimbo ya kupata mzigo wa uhakika kwa bei nafuu naombeni msaada wenu. Asante.
Habari wadau. Nategemea kufungua kibanda cha kuuza vifaa vya umeme maeneo ya Mkuyuni Mwanza hivi karibuni. Kwa mnaojua machimbo ya kupata mzigo wa uhakika kwa bei nafuu naombeni msaada wenu. Asante.
M mbwewe JF-Expert Member Joined Sep 10, 2014 Posts 3,267 Reaction score 3,404 Sep 21, 2021 #2 Agiza dar mkuu..wafanyabiashara wa mwanza wana tamaa sana watakupiga sana kwenye bei
lucasmore Member Joined Dec 1, 2021 Posts 6 Reaction score 1 Dec 30, 2021 #3 Kuna wakati na mm nilifanya research ya hii kitu.. Kuna mdau mmoja alinipa namba ya duka kubwa la jumla kariakoo. Kitenge kkoo- 0715 387 795
Kuna wakati na mm nilifanya research ya hii kitu.. Kuna mdau mmoja alinipa namba ya duka kubwa la jumla kariakoo. Kitenge kkoo- 0715 387 795
Martinez Mgana New Member Joined Jun 2, 2021 Posts 4 Reaction score 3 Jul 24, 2022 #4 lucasmore said: Kuna wakati na mm nilifanya research ya hii kitu.. Kuna mdau mmoja alinipa namba ya duka kubwa la jumla kariakoo. Kitenge kkoo- 0715 387 795 Click to expand... Hivi hawa kitenge hawapo social media
lucasmore said: Kuna wakati na mm nilifanya research ya hii kitu.. Kuna mdau mmoja alinipa namba ya duka kubwa la jumla kariakoo. Kitenge kkoo- 0715 387 795 Click to expand... Hivi hawa kitenge hawapo social media
M mbu wa dengue JF-Expert Member Joined Jun 2, 2014 Posts 8,860 Reaction score 11,554 Jul 25, 2022 #5 Napokea Oda kutoka Dubai kwa atakayehitaji electrical devices. Whatsapp: +971527794329 Karibuni sana.
Napokea Oda kutoka Dubai kwa atakayehitaji electrical devices. Whatsapp: +971527794329 Karibuni sana.