maduka ya nguo nzuri za kisasa yapo wapi dar?

Mitaa ya kanisa la RC Makuburi ni nyumbani kwake. Ni PM nikupe namba yake
 
Kinondoni kwa kina ISSA - kuna nguo nyingi "pre-owned" (siyo Mitumba)!
 
baba enock mimi mshamba wa jiji kariakoo naogopa kuibiwa ila kama hakuna alternative basi nielekeze hata huko nitaenda mimi nimeibiwa cheni kariakoo mwaka jana hadi leo napaogopa!

kariakoo lazima mugawane umasikini so uclalamike
 
kiuno 32. nasubiri hiyo zawadi. sipati picha sijui ni zawadi gani hii.lol
 
wadau mambo vipi?sina budi kuja kwenu na kuwashukuru!nimepata vivalo vya nguvu maeneo ya kinondoni muslim,nimefika mwenge na kijitonyama pia nimevamia kariakoo nimekuta vitu bei rahisi sana hadi nikawa siamini!
nashukuru sana tena sana nimeamini jf ni zaidi ya jukwaa!
kwa heshma na taadhima nipeni viuno vyenu ili nipate size ya zawadi zenu pia,najua mkono mtupu haurambwi!
thanx!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…