Kariakoo imeharibiwa sana na machinga. Hakupitiki kabisa vurugu mtindo mmoja. Enzi zile ningekushauri nenda kariakoo kwa makoba🤣🤣 kwa sasa bora uende maduka ya pembezoni tu. Sinza au tabatahabari wakuu.
ni maeneo gan mjini dar es salaam nitapata maduka ya nguo nzuri za kiume ukitoa kariakoo(pananichanganyaga nashindwa kupaelewa). Yaani jeans kali na tshart zenye quality nzuri kwa bei ya kawaida mfano jeans isizidi 30,000 na tshirt isizidi 20,000 ziwe special au mtumba.. Japokua napendelea mitumba zaidi ile ya grade one.. Kwa anaejua machimbo hapa mjini dar es salaam naomba muongozo tafadhari . Asante.
Dah huyu makoba alifilisika au nini shida mpaka akina vunja warembo akaja juu na kufika top na sasa ndo ana run the industry na nguo zake fambasticKariakoo imeharibiwa sana na machinga. Hakupitiki kabisa vurugu mtindo mmoja. Enzi zile ningekushauri nenda kariakoo kwa makoba🤣🤣 kwa sasa bora uende maduka ya pembezoni tu. Sinza au tabata
Huwa namuona insta mara moja moja nadhan bado yupo ila wabongo wanapenda mafamba ya vunja waremboDah huyu makoba alifilisika au nini shida mpaka akina vunja warembo akaja juu na kufika top na sasa ndo ana run the industry na nguo zake fambastic
Ungeweka nambaNjoo nikuuzie jeans Kali mpya bei nafuu
0753057000Ungeweka namba
duka liko wapi?0753057000
Ni online tunapatikana kinondoni delivery ipoduka liko wapi?
Saivi Jeans nyingi za kiume zinazouzwa na wanazovaa vijana ni za Kike. Hata wauzaji wa nguo wengi hawajui Nguo. Unamwambia nahitaji "Slim Fit" au "Regular" Jeans unaishia kupewa Jeans ya kike chini imebana miguuu🤣🤣🤣Ni online tunapatikana kinondoni delivery ipo