Maduka ya Uchumi walipofunga TZ, mlishabikia sana humu, sasa na hawa wengine mnawacheka?


Sasa wewe wanauza bidhaa za nje tu za kwetu hapana tena kwa bei kubwa. Tuliwaachia wanunue wenyewe. Wanalundika wafanya kazi toka makwao. Tuliwaachia wafanye wenyewe. Mbona nasikia hata huko Kenya Nakumatt wanasuasua? Watu walikuwa wanatucheka kuwa uchumi wa Tanzania umeshikwa na wageni. Wanatudharau, sasa tumeamka tunataka tumiliki dhahabu zetu, almasi zetu na Tanzanite zetu. Walisema Waswahili:"Alalaye usimwamshe, Ukimwamsha utalala wewe". Tumepata Kiongozi asiyeogopa ukubwa wao hayo makampuni makubwa. Wasingekuwa wanatudharau na kutucheka penginepo tungebaki tunelala. Tumeamka na hatutalala tena. Wengi wanakimbia na kuja huko Kenya. Wengi pia wamekubali kufuata utaratibu wetu na wanafanya biashara zao vizuri tu. Ukitaka kuchuma hapa kwetu tugawane vizuri Bwana alaaaah!
 
Nafikiri kuna kitu Dangote aliongea na Kikwete makubaliano maalum ambayo Magufuli hayatekelezi, kwanza alikua amejaza wahindi mule kiwandani kwenye section ambazo watanzania wanazimudu, Magufuli akamwambia aajiri watanzania lakini hajui kama amepewa almost free source of energy kwenye kiwanda chake.

Nasikia alikua anataka apewe eneo la bandari bure iwe kama ni private port yake hili sijui lilifikia wapi?
 
Kweli kabisa, niliingia branch moja ya nakumatt kila bidhaa ilikua ni ya Kenya, hakuna bidhaa hata moja ya Tanzania japo bidhaa zote wanazoimport kutoka Kenya zinazalishwa na viwanda vya ndani.

Hili ndio walikua wanafanya pale Tanzania Diaries Arusha walipewa kile kiwanda wakakiita Brookside wakawa wanazomba maziwa kwa wafugaji wa kitanzania kisha wanayapakia kwenye magari na kufanyia processing Kenya lakini mkataba unasema wazaprocess hapa nchini, Tanzania imewafukuza kabisa na ni kiwanda cha Uhuru Kenyatta.
Huu upumbavu Tanzania we are no longer entertaining
 
He is not scaring investors only, even us Tanzanians!!(we are scared)
 
Wewe MK254 nyoko sana! Huwezi fananisha Uchumi na Nakumatt na BIASHARA nyingine Hata Kenya Uchumi na Nakumatt wanafunga maduka!
Umemjibu vizuri sana huyu Kenge wa Kenya.
Kenya airways wenyewe wanapata hasara kila kukicha, dunia ya technology imekuwa ngumu sana kwa biashara zenye watu waliozoea Mazoea ya kufanya biashara
 
Ni bad loser always Nakumatt walipoona Shoprite wanaondoka wakamuiga tembo kunya na kununua assets zake! Wasijue kuna TSN as serious competitor

Sent from my SM-J320F using JamiiForums mobile app
 
ushamba ndio mwingi...kariakoo vs Nakumatt😀😀😀tanzanians prefer kariakoo😀😀😀
Yaani mimi niende Nakumatt nikanunue juice ya kopo ya kutoka uarabuni au S.A kwa buku tano wakati buku tano hiyo najaza mfuko wa matunda fresh kutoka mtini pale buguruni sokoni ninayoweza kula na familia yangu siku 3.. Kupapatikia maisha ya kizungu ndio ushamba wenyewe. Wakenya ninyi ni washamba hadi kero.
 
Wewe Mkenya unanishangaza na kisirani chako kwa Magufuli, naona unasought kauli za wanaompinga alafu unazifurahia mwenyewe. Save yoself, he is doing very fine here and a lot of yo country men admire his style
Utashuhudia hiyo victory ya Magufuli come 2020, nakuombea uhai.
 
Wewe MK254 nyoko sana! Huwezi fananisha Uchumi na Nakumatt na BIASHARA nyingine Hata Kenya Uchumi na Nakumatt wanafunga maduka!
Uchumi na Nakumatt zina matatizo zao za kiundani kama usimamizi mbaya, sio kutokana na uchumi hafifu Kenya!

Mbona basi Tuskeys, Maathais, Eastmatt, Naivas, Mulei's na Tumaini zinanawiri sana?
 
Some investors were not paying taxes, They wanted to benefit more than us,for those who do clean job are staying and they won't leave anytime soon


Phsss! Give us better excuse my friend!

Kwani were those shopping stores accruing good profits b4 the stringent tax measures introduced?

Reread that article, Tzians just have poor shopping culture!
With or without taxes, retail business isnt a very lucrative venture in Tz.
 
It's mostly Kenyan goods in Nakumatt.

Sawa, nyie basi mna kama supermarket gani.hizo zinazouza Tanzanian goods na zinanawiri?
 
Unakaribia kucollapse according to whom? Wewe peleka hii propaganda Uganda!

This is just wishful thinking. Uchumi wa Kenya inachangamoto sio haba, lakini haukaribii kuanguka.
 
Unakaribia kucollapse according to whom? Wewe peleka hii propaganda Uganda!

This is just wishful thinking. Uchumi wa Kenya inachangamoto sio haba, lakini haukaribii kuanguka.
According to economic and politic analysts, refer Moody's report iliyotolewa karibu, refer hotuba za Uhuru anavyomlalamikia Raila kwamba ana lengo la kusabotage uchumi wa Kenya, with current political climate unategemea nini?, onyesha kwa ushahidi ni sector gani ya uchumi inayofanya vizuri sasa hivi Kenya?
 
Mbona juzi nakumat wamefunga westgate nako shida nn? Nakubariana na ww kuhusu kuanguka uchumi tz
 
Nmetoka Mliman city mbona Game na Mr price are doing better day and day? Wapo tokaa zaman mkaja mkamuondoa shoprite kwa nguvu then what?

Tsn supermarket yakibongo nayo inafanya poa tu...ni kweli wabongo bado hawajazoea Shopping kwa malls lakini ukiwa stable unafanya biashara....sio leo kwenye shelve kuna bidhaa flan x kesho nikija haipo. ...lazima mjifunze kua serious na biashara
 
Waende tuu sisi watz tunauzalendo sana sio sawa na wakenya yaani tuache kununua vitu kwa wabongo wenzetu kina mangi tuende kununua kwa supermarket za wageni kina south Africa,kenya n.k?Tanzania kwanza lazima tuinuane wenyewe kwanza uzalendo kwanza.Mungu ibariki Tanzania
 
Ni ZWAZWA tu ambaye hawezi kuona uchumi wa Tanzania ulivyoanguka. Mapato ya TRA yameshuka hadi bilioni 600 kwa mwezi lakini Serikali inaficha hili lakini mnashangilia kuanguka uchumi wa Kenya kweli nyani haoni kundule. Unadhani kwanini Serikali inaficha hali halisi ya uchumi wa Tanzania? Wanakopa mapesa chungu nzima kwa riba kubwa tena kwa kificho na kuzidi kuliongeza deni la Taifa ambalo nalo linafichwa eti tunalipa 950 billioni kwa mwezi wakati si kweli ni uongo mtupu. Mchawi mbona anajulikana ni huyo dikteta uchwara asiyetaka kushauriwa na sera zake MUFILISI.

 


Hizo Super market na up market retailers zote hazikupswa hata kufunguliwa Tanzania kwanza kama ukiniuliza mimi, na hili halina uhusiano na nani ni Raisi wa Tanzania, Tanzania kwa sasa hatuna middle class ya kuweza kusupport hiyo industry huwo ndiyo ukweli, mfano tu watu wanaoweza kutoa 500 USD kununua Kifaa cha umeme kama friji, Jiko au sijui washing machine Tanzania hawafikii hata 0.5% sasa unawezaje kuendesha shopping malls kwenye nchi ambayo ina purchasing power ndogo namna hiyo?

Kwa maoni yangu hawa watu hawakupaswa hata kuja Tanzania, bado hatujafikia huko!
 
Which economic and political analysts have predicted Kenya's collapse?
Moody's? Duh! What is the size of the Japanese, UK, US, SA debt relative to their gdp? U really think Kenya's worst case scenario?

And really, Moody's have predicted the collapse of the Kenyan economy? A country posting 5 or 6% growth pa?

See the smoker!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…